- third
- ------------------------------------------------------------[English Word] third[Swahili Word] -a tatu[Part of Speech] adjective------------------------------------------------------------[English Word] third[English Plural] thirds[Swahili Word] theluthi[Swahili Plural] theluthi[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Derived Language] Arabic[English Definition] one of three equal parts of a whole[Swahili Definition] uwiano wa fungu moja kwa tatu za zima[English Example] so as to avoid fracas, each one of the three persons got a third of the chapati[Swahili Example] ili kusiwe na vurugu kati ya watu wale watatu, kila mmoja alipata thuluthi ya chapati ile moja[Terminology] general / mathematics------------------------------------------------------------[English Word] third world[Swahili Word] ulimwengu wa tatu[Part of Speech] noun[Class] 11[English Example] Ninety percent of bad illnesses in the Third World are caused by water that is not good.[Swahili Example] Asilimia tisini ya magojwa mabaya katika Ulimwengu waTatu yanasababishwa na maji yasiyo bora. [www.alliance21.org/fr/platform/docs/pf_ks.rtf MAAZIMIO JUU YA ULIMWENGUWA KUAMINIKA NA ULIOJIUNGA]------------------------------------------------------------[English Word] third world[Swahili Word] dunia ya tatu[Part of Speech] noun[Class] 9[English Example] to get rid of the debts of the nations of the third world.[Swahili Example] kufutwa kwa madeni ya nchi za dunia ya tatu. [http://phmovement.org/charter/pch-swahili.html Mkataba Wa Afya Ya Jamii]------------------------------------------------------------[English Word] two thirds[Swahili Word] theluthi mbili[Part of Speech] noun[Class] 9[Derived Language] Arabic[Related Words] mbili[Terminology] general / mathematics------------------------------------------------------------
English-Swahili dictionary. 2013.